Kabibi

May 9, 2024
Les Wanyika
Polydor Records
Number of discs: 1

Les Wanyika was formed in 1978 when drummer Rashid Juma, guitarist Omar Shabani, bassist Tommy Malanga, saxophonist Sijali Salum Zuwa and Phoney Mkwanyule left the Simba Wanyika Band.

LYRICS

Ahh! kabibi, penzi likiisha inabaki mazoea mama , sio chuki.nakuita mwana mama ehh! jina lako kabibi ohh! hata kama tumeachana ehh! mama ukiniona waja hasira ehh weka bibi ohh mwana mama ehh. nimapenzi tumeachana ehh mama yamebaki mazoea ahh hata kama penzi hakuna ehh mama kusema jambo sio makosa ehh weka bibi ohh mwana mama ehh eiyoohh.juzi juzi tulikutana ehh mama hili na lile mie sina oooh hukujibu hata salam ehh kabibi ohh nilizokuba mwana mama ehhh weka bibi ohh mwana mama ehh iyooo mama.

Share:
Copyright ©2023 Les Wanyika. All Rights Reserved.